WANDAMAN HOTEL, JISIKIE NYUMBANI KWA STAREHE ZA KIPEKEE

KARIBU WANDAMAN HOTEL – UZURI, UTULIVU NA HUDUMA BORA NDANI YA SHINYANGA 🌟

Unatafuta sehemu ya mapumziko yenye hadhi ya juu na mazingira ya kuvutia?
WANDAMAN HOTEL ni chaguo sahihi kwako!

📍 Mahali ilipo:
Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga – Mwasele, nyuma ya Musoma Food, barabara ya Karena (ukitokea Shule ya Msingi Kambarage).


 TUNAKUPA NINI?

🛏 Vyumba vya Kisasa na Vya Kifahari
Safi, vyenye mandhari nzuri na vifaa vinavyokidhi mahitaji ya mgeni wa leo – kwa mapumziko binafsi au ya kifamilia.

🏨 Vyumba Maalum kwa Wageni wa Kitaifa
Huduma ya hali ya juu kwa wageni wanaohitaji faragha na utulivu wa kipekee.

🍽 Huduma Bora ya Chakula
Furahia ladha tamu na vyakula vilivyoandaliwa kwa ustadi mkubwa kulingana na mapendeleo yako.

🌿 Mazingira Tulivu na Hewa Safi
Hotel imezungukwa na miti na bustani nzuri zinazotoa utulivu, faragha na mapumziko ya kweli.

🤝 Wahudumu Wenye Ukarimu na Weledi
Timu yetu ipo tayari kuhakikisha unapata huduma bora kwa tabasamu na heshima.

🏢 Kumbi za Mikutano na Hafla
Tunazo kumbi za kisasa kwa ajili ya semina, warsha, mikutano, sherehe na hafla mbalimbali – pamoja na ukumbi maalum wa faragha.

💺 Electronic Massage Chair
Pumzika kwa teknolojia ya kisasa ya massage – kaa kwenye kiti na ufurahie huduma ya massage kwa mfumo wa kielektroniki.


💼 WANDAMAN HOTEL – FAHARI YA SHINYANGA

Hoteli mpya ya kisasa yenye hadhi ya juu kwa wageni wote na huduma bora za mikutano.

📞 Wasiliana Nasi:
+255 770 601 666
0757 281 271
0672 166 342
0754 484 965

📧 Barua Pepe: wandamanhoteltz@gmail.com
📱 Instagram: wandamanhotel
📘 Facebook: wandamanhotel

WANDAMAN HOTEL – Tunakukaribisha ujisikie nyumbani, mbali na nyumbani.


PICHA 👇


Sehemu ya mapumziko








Sehemu ya kuingilia



Eneo la VIP

Eneo la kupata chakula


Comference Room


Eneo la kusubiri

Eneo la mazoezi



Mwonekano wa vyumba








Eneo la nje ya vyumba













TANGAZA NASI
PIA TUNAPOKEA MATANGAZO YA MAGAZETI
NO. 0763955413

Chapisha Maoni

0 Maoni